Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kavuu kwa kuzingatia kanuni ya 14 ya kanuni za uchaguzi wa Rais na Wabunge za mwaka 2020 na kanuni ya 12 ya kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa(Uchaguzi wa Madiwani) za mwaka 2020 anakaribisha maombi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za watendaji wa Uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 kwa maelekezo zaidi bofya Tangazo la Kazi za Muda Wasimamizi wa Uchaguzi .pdf
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa