• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

TEHAMA na Habari

Kitengo cha Tekinolojia Habari na Mawasiliano kinatoa huduma  wezeshi katika matumizi ya Teknolojia ya Kompyuta, Mifumo ya Mawasiliano na masuala yote yanayohusu Habari na Uhusiano ndani na nje ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe.

Kwa kufanya hivyo kitengo kinatoa fursa nyingi kwa Idara na Vitengo vya Halmashauri kufanya majukumu yake vizuri hasa katika masuala yote yanayohitaji matumizi ya mifumo ya mawasiliano ya Kompyuta, Habari na Teknolojia kwa kuwezesha mbinu za kisasa za kufanyaa kazi. Hii hufanyika kwa  kuzingatia mahitaji ya watumiaji wa mifumo ya mawasiliano, maoni ya wadau na mahitaji ya taasisi ili kufikia Malengo ya jumla ya Halmashauri.

Tabia mbalimbali  za watendakazi katika taasisi hukijengea kitengo hatua za mwanzo katika kubuni mbinu mpya na za kisasa za kufanyia kazi, kila mchakato unaweka mahitaji mbalimbali juu ya msaada wa TEHAMA. Kutokana na hali ya sasa ya uhitaji mkubwa wa matumizi ya tekinolojia, kitengo cha TEHAMA kimekuwa msingi mkubwa wa mafanikio katika taasisi.

Majukumu mengine ya Kitengo cha TEHAMA ni kama ifuatavyo:-

  • Kusimamia Sera, Sheria, Taratibu na miongozo ya Kitengo inayotolewa na serikali juu ya uendeshaji wa Kitengo cha TEHAMA & Uhusiano
  • Kuandaa Miongozo na taratibu kwa kuzingatia kwa matumizi salama ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
  • Kuisimamia Tovuti (website) ya Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe inayopatikana popote pale duniani kupitia anwani ya https://www.mpimbwedc.go.tz
  • Kuhakikisha Halmashauri ya Wilaya ya  Mpimbwe  inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System) kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali , Barua pepe hiyo ni ded@mpimbwedc.go.tz
  • Kusimamia mawasiliano ya ndani na nje ya ofisi (Internal and External Communication)
  • Kusimamia Mifumo yote ya Halmashauri,ifuatayo ni mifumo inayosimamiwa
  • Mfumo wa Hcmis (Lawson)
  • Mfumo wa Rasilimali Fedha (Epicor)
  • Mfumo wa Prem
  • Mfumo wa Bemis
  • Mfumo wa Mapato ( Lgrcis)
  • Kusimamia Mashine za kieletroniki zinazokusanya Mapato(Pos Machine)
  • Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya Tehama
  • Kupokea na kutekeleza Mifumo Mipya ya Serikali inayogunduliwa kutokana na mabadiliko ya sayansi na tekinolojia

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI AJIRA ZA MUDA ZA SENSA TAREHE 19 JULAI 2022 July 17, 2022
  • Kuitwa kwenye Mafunzo ya Mfumo wa Anwani za Makazi NAPA March 28, 2022
  • WALIOFAULU USAILI WA SENSA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO July 27, 2022
  • WALIOFAULU USAILI WA SENSA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO July 27, 2022
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • UTOAJI WA HUDUMA YA AFYA YA KINYWA NA MENO

    March 19, 2023
  • KATA YA MWAMAPULI YAADHIMISHA SHEREHE YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

    March 06, 2023
  • TUMIENI PIKIPIKI KUWAHUDUMIA WANACHI DED MPIMBWE

    March 02, 2023
  • SHEREHE ZA SIKU YA MWANAMKE KUANZA MPIMBWE

    March 01, 2023
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Chuo kikiku cha kilimo Sua cha tembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa ajili ya uanzishaji wa chuo cha kilimo Ndani ya Mkoa wa Katavi
  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region
  • Mkoa wa katavi

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: 0625732265

    Mobile: 0625732265

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa