Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe wakifuatilia Hotuba ya Mh. Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Geofrey Pinda leo tarehe 31 Dec.2020, Aidha watumishi hao walipewa fursa ya kuuliza maswali na kutoa maoni yao kwa Mh. Naibu Waziri namna ya kuisogeza Halmashauri kutoka hapa ilipo kwenda hatua ya juu zaidi kimaendeleo.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa