Burudani na michezo mbalimbali ilifanyika leo kama inavyoonekana katika Picha hapo juu wakati wa Bonanza la uhamasishaji wa Sensa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Bonanza limefanyika leo tarehe 20/08/2022 katika viwanja vya mpira wa miguu Majimoto. Bonanza hilo liliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Mwanamvua H.Mrindoko
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa