Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine- Sua Kimetoa msaada wa Darubini Moja kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe, Makamu Mkuu wa Chuo cha Sokoine Tawi la Mizengo Pinda Campus (kulia) akimkabidhi Darubini Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine M. Mashalaa (kushoto) Katikati ni Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya Mpimbwe Dr. Edward Sengo akishuhudia makabidhiano hayo, aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine Mashalla ameshukuru ushirikiano uliopo baina ya chuo hicho na Halmashauri ya Mpimbwe na kusisitiza kuundeleza.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa