• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

Hatukuwa hivi enzi za Ukoroni

Posted on: December 14th, 2021

Na Odetha  salum.

Mpimbwe ya zamani nitofauti na Mpimbwe iliyopo sasa kutokana na mabadiliko makubwa ya kimaendeleo yanayoendelea kuwepo tofauti  na zamani  .

Alexander Gabriel Maperani ni mzee anayeishi katika kijiji  cha kibaoni kata ya kibaoni katika Halmshauri ya wilaya ya Mpimbwe anasema ukiangalia katika Sekta mbalimbali hali ilikuwa mbaya sana  hasa katika  nyanja  za utawala , ulinzi ,Afya, Elimu,  Miundombinu  ya Barabara ,   Hali ya Mazingira  na mila na Desturi .

Maperani amesema  hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa katavi Mwanamvua Mlindoko wakati wa kukabidhi Majengo ya Madarasa katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda

 Ambapo amendelea kusema kulikuwa na changamioto kubwa sana katika hali ya usafiri hali iliyokuwa ngumu kutokana na Barabara  kuwa mbovu ambapo msafiri  ilikuwa inamgharimu  wiki moja  kusafiri  kutoka Mpimbwe kwenda Mpanda  hali iliyotofauti na sasa kwani kwa sasa msafiri anauwezo wakwenda na kurudi  .

Amesema hapakuwa na shule za kutiosha Kwa ajili ya wanafunzi kusoma hali iliyokuwa ikiwalazimu kutumia umbali mrefu kwenda kupata Elimu japokuwa walio bahataka kuipata Elimu hiyo ni wachache ukulinganisha na wahitaji waliokuwepo jambo ambalo ni tofauti na sasa Shule zimejengwa kila mahali  katika Halmashauri yetu ya Mpimbwe jambo ambalo ninzuri .

Sanjari  na hayo hapakuwa na vituo vya kutolea Afya vingi kama ilivyo sasa kulikuwa na vituo viwili tu  yaani Kituo cha Usevya na Mamba  vilivyokuwa vikibeba  Mzigo mkubwa kuwahudumia watu wengi tofauti na huduma iliyokuwa ikistahili kutolewa kwa kwa wakati .

Aidha amsema  kutokana na viongozi kushirikisha wananchi mabadiliko yamekuwa kwa kasi kwani vikao vinafanafanyika na kushauriana nini kifanyike  ilikuweza kuleta manufaa mazuri , licha ya ushirikishwaji wa wananchi lakini serikali inafuatilia nakujiua maendeleo ya kile kilichoanzishwa.

Pia katika swala la mila na desturi amewataka vijana kutowazarau  wazee  na kuona kama nisehemu ya kujivunia na kupata ushauri  pale wanapotaka msaada wakimawazo  lakini badala yake vijana wanasema  “wamepitwa na wakati na wakati huo  sisi tulikuwepo na sasa tupo na tunakokwenda tunakwenda pamoja “ amesema Mzee Maperani.

Hata hivyo amewataka  wanafunzi kutumia muda wao vizuri wa masomo kwa kusoma kwa bidii  na kuhakikisha wanapata nafasi nzuri katika masomo yao kwani Serikali imefanya jitihada kubwa kwa kupeleka Shule  za sekondari  pamoja na za msingi kila kona ya Tanzania .

  

 

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI AJIRA ZA MUDA ZA SENSA TAREHE 19 JULAI 2022 July 17, 2022
  • Kuitwa kwenye Mafunzo ya Mfumo wa Anwani za Makazi NAPA March 28, 2022
  • WALIOFAULU USAILI WA SENSA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO July 27, 2022
  • WALIOFAULU USAILI WA SENSA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO July 27, 2022
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MAJENGO YATUMIKE KUTATUA MIGOGORO YA WANANCHI NASIYO KUPOKEA RUSHWA NA KUFANYIA UFISADI

    July 22, 2022
  • BARAZA LA MAALUM LA KUJADILI HOJA ZA MKAGUZI KATIKA HALMASHAURI YA MPIMBWE

    June 29, 2022
  • Pikipiki kurahisisha usafili kuwafikia wakulima kirahisi katika maeneo mbalimbali

    June 20, 2022
  • WAZAZI N A WALEZI MLINDE MTOTO ILIKUMUEPUSHA NA KUFANYIWA UKATILI

    June 16, 2022
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Chuo kikiku cha kilimo Sua cha tembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa ajili ya uanzishaji wa chuo cha kilimo Ndani ya Mkoa wa Katavi
  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region
  • Mkoa wa katavi

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: 0625732265

    Mobile: 0625732265

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa