Wakulima walipewa fursa ya kuhakiki makufuli kama yapo salama kabla ya kufunguliwa na kujiridhisha kuwa yapo salama ndipo yakafunguliwa,Baada ya mnada Makampuni mawili (2) ya FM na RBST yalishinda zabuni ya kununua ufuta kwa wastani wa bei ya Tsh.2182.5 kwa kilo moja (kwa gunia la kilo 100 sawa na Tsh. 218250/=) kwa huu mnada wa kwanza uliofunguliwa na Mh. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa