Tarehe 10 Disemba kutakuwa na Makabidhiano ya Madarasa 49 yaliyojengwa kwa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO -19 2021 katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda saa mbili kamili asubuhi. Makabidhiano hayo yatafanyika kati ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mh Filberto Sanga akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mlindoko kama ilivyokuwa kusudiwa kimkoa
Madarasa hayo ambayo yatawasaidia Wanafunzi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe yamefikia hatua nzuri mpaka kufika hatua ya kukabidhi.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa