Mbunge wa Jimbo la Kavuu Mh.Geofrey Pinda akitoa taarifa ya Mradi wa ujenzi wa Nyumba za wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe leo Nov..27, 2020. Aidha Mh.Mbunge aliomba mradi huo ukamilike kwa wakati ili nyumba hizo zianze kutumika.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa