Akizumgumza katika kikao cha baraza la Madiwani cha kujibu hoja Mohamed s. Msangi (pichani ) ambaye ni mdhibiti kuu wa Nje wa hesabu za serikari amesema katika ripot ya jumla nikama ifuatavyo ,mwaka 2017/2018 hoja zilizokuwa zimeibuliwa Hoja 1, iliyo kuwa imesalia 1 ,kwa mwaka 2018/2019 Hoja zilizokuwa zimeibuliwa ni Hoja 25 , zilizo fungwa 18 zilizo salia ni 7,Mwaka 2019/2020, Hoja zilizoibuliwa ni 18, zilizo fungwa 9,na zilizo salia ni 17 ,na ripoti ya mfuko wa jamii HBF Mwaka 2018/2019 Hoja zilizo ibuliwa 2 hakuna zilizo fungwa , Hoja zilizo salia 2 ,mwaka 2019/20120 hoja zilizo ibuliwa 3, zilizofungwa 2 na zilizo salia Hoja 1.ambazo jumla yake kuu hoja zilizo ibuliwa 49 hoja zilizo 29, zilizo salia 20 Ambazo ni sawa na asilimia zifuatazo kwa hoja zilizo ibuliwa 100% hojazilizo fungwa 59% na hoja ambazo hazija fungwa 41%.
Pia amesema hoja zilizo salia zimegawanyika katika makundi mawili ambazokuna hoja zimepatiwa majibu yasiyoridhisha na pili kunahoja ambazo zimepatiwa majibu lakini zinaendelea kutekelezwa.
Aidha amewataka kujikita kuzuia hoja na siyo kujibu hoja katika kuimalisha udhibiti wandani kwa mala nyingi sehemu kubwa inyo zalisha hoja nikatika kitengo hicho kwani kitengo kikifanya vizuri kitasaidi kupunguza hoja Hata hivyo amewataka kutochukua maamuzi ya mtu mmoja badala yake wafanye kazi kama team work ili kuweza kushirikiana na kufanya maamuzi yaliyo sahihi.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa