• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

MPIMBWE YAAMUA KUCHANGAMKIA FURSA YA HEWA YA UKAA.

Posted on: January 3rd, 2024

Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe  Wilaya ya Mlele Mkaoni Katavi   likiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Majid Mwanga ,Mwenyekiti wa Halmashauri  Mhe. Silas Ilumba ,Mkurungenzi  Mtendaji  Bi. Shamim Mwariko na Wakuu wa Divisheni na Vitengo wamefanya ziara ya  kutembelea na kujifunza  namna   hewa ukaa inavyo zarishwa  kutokana na misitu ya asili au yakupandwa katika  Halmashauri ya Tanganyika  inayotekeleza Mradi huo.

Wakiwa katika ziara hiyo  ya siku mbili  Mtendaji wa kijiji  cha Mpembe kata ya  katuma  Herieth Festo Malekela amesema ili kuweza kufanikisha  zoezi la uhifadhi  hewa ya ukaa  ushirikishwaji wa jamii unahitajika kwani jamii lazima ipate uelewa wa umhimu wa uhifadhi wa Mazingira kwa kuzarisha  Hewa ya  Ukaa.

Aidha amesema ili kuweza kuepusha changamoto za shughuli za kibinadamu katika maeneo  maeneo ambayo ni yauhifadhi wa wa misitu kwa ajili ya hewa ukaa lazima kuwe na maeneo tengefu kwa ajili ya shughuli za kilimo, na ufungaji katika maeneo hayo.

Herieth ameeleza kuwa wameweza kupata faida kutokana na uzarishaji wa Hewa Ukaa kwa kujenga Zahanati,  kujenga nyumba za watumishi wa Afya kulipata mishahara ya watumishi, kuwakatia  BIMA baadhi ya wanakijiji na kutoa chakula kwa wanafunzi  Shuleni.

Naye Kaimu  Mkurungenzi Mtendaji wa Tanganyika Alex Mlema amesema  kutokana na ushirikiano mkubwa uliopo kati ya  Halmashauri ya Mpimbwe na Tanganyika  endapo Halmashauri ya Mpimbwe itakuwa tayari kuzarisha Hewa ukaa wako tayari kutoa ushirikiano  ili kuweza kukamilisha michakato huo.

Kwa upande wake Mkurungenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe Bi. Shamim Mwariko amewataka waheshimiwa madiwani  na  kila kiongozi wa serikali kwanafasi yake kuhakikisha wanatoa elimu kwa jamii ili kuweza kutumia fursa ya mlima wa lyamba lya mfipa na eneo la WMA ambalo lipo katika eneo la kibaoni  na kuhakikisha wanatumia vizuri elimu walioipata Tanganyika.

 Mkuu wa Wilaya  Mhe.Majid Mwanga naye amesema kuwa kutokana na ziara hiyo nivyema kuonesha ushikamano katika swala hili ili kusiwepo mtu wa kuwa kinyume na wengine kwani uhifadhi wa hewa ukaa unafaida kubwa katika jamii.

Matangazo

  • BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA December 20, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA February 15, 2024
  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 17, 2019
  • Tangazo la nafasi za Kazi za Muda April 21, 2020
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPIMBWE

    April 05, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA H/W YA MPIMBWE AZINDUA MAFUNZO YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI

    February 12, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA MPIMBWE LAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA LISHE NA MIRADI YA MAENDELEO

    February 11, 2025
  • Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura

    October 11, 2024
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Chuo kikiku cha kilimo Sua cha tembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa ajili ya uanzishaji wa chuo cha kilimo Ndani ya Mkoa wa Katavi
  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region
  • Mkoa wa katavi

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: 0625732265

    Mobile: 0625732265

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa