Muonekano wa sasa wa Jengo la Utawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe katika Hatua ya kumwaga Jamvi , aidha tayari Jamvi limetandikwa katika jengo lote hatua inayofuta ni ya kumwaga zege la juu na kuendela na ujenzi wa ghorofa ya kwanza. Picha hii imechukuliwa tarehe 16-9-2018
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa