• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

RAS Katavi aongoza upandaji miti katika Halmashauri ya Wilaya Ya Mpimbwe ikiwa ni uzinduzi wa Kampeni ya Upandaji Miti kimkoa.

Posted on: January 24th, 2023

Katibu Tawala mkoa wa Katavi Hasan Mhe. Rugwa akiwa katika Halmashauri ya  Mpimbwe amewataka wananchi kuendelea kutunza miti ili kuweza kuendelea kuhifadhi mazingira ambayo yatasaidia katika kuleta  kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

"Zoezi hili la upandaji miti lina hatua nne ambazo zote kwa pamoja zikizingatiwa zitasaidia kukabiliana na hali ya mabadiliko ya tabia nchi,  tuzingatie upandaji miti, ulinzi wa vyanzo vya maji, utunzaji wa miche ambayo inapandwa na usafi wa mazingira" Amesema Mhe. Rungwe

Katika hatua nyingine katibu Tawala wa mkoa wa Katavi Mhe. Rungwe amewataka wananchi wote kushiriki kikamilifu  kwa kila familia kuhakikisha wanapanda Miti katika maeneo yao ya makazi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Silas Ilumba amesema kutokana na kuwepo kwa wananchi wanao tumia sehemu za vyanzo  vya Maji kufanya shughuli za kibinadamu, hali hiyo inasababisha vyanzo hivyo vya asili kukauka maji mapema, hivyo ametumia nafasi  kumuomba mgeni rasmi, kutokana na ushirikiano uliopo kati ya mkoa wa Rukwa na Katavi kuweza kuliangalia swala hili ili kuepukana na uharibifu huo wa mazingira. 

Naye Rajabu Ramadhan mratibu wa upandaji miti Mkoa wa Katavi amewataka kuendelea kusimamia upandaji na uendelezaji wa utunzaji wa miche hiyo iliyo pandwa ili kuweza kufikia malengo yaliyo kusudiwa.

Aidha Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Saka Muok amesema Halmashauri ya Mpimbwe inatarajia kupanda Miche 288,000 ambayo itapandwa  katika shule za msingi, shule za sekondari, vituo vya Afya, zahanati, vijiji, na katika makazi ya watu binafsi.

Mwisho

*Imetolewa na:*

*Kitengo cha Mawasiliano Serikalini*

*Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe*

Matangazo

  • BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA December 20, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA February 15, 2024
  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 17, 2019
  • Tangazo la nafasi za Kazi za Muda April 21, 2020
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPIMBWE

    April 05, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA H/W YA MPIMBWE AZINDUA MAFUNZO YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI

    February 12, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA MPIMBWE LAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA LISHE NA MIRADI YA MAENDELEO

    February 11, 2025
  • Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura

    October 11, 2024
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Chuo kikiku cha kilimo Sua cha tembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa ajili ya uanzishaji wa chuo cha kilimo Ndani ya Mkoa wa Katavi
  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region
  • Mkoa wa katavi

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: 0625732265

    Mobile: 0625732265

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa