• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe imeanza kuweka juhudi za maksudi ili kukabiliana na mripuka wa ugonjwa wa Surua ulioshamiri hivi karibuni

Posted on: February 17th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga amesema moja ya mikakati ya kukabiliana na ugonjwa huo kwanza ni kuhakikisha chanjo zinakuwa za kutosha, kusambaza magari kila kata na wataalamu watakaofanya kazi ya kutoa elimu na kutoa chanjo na kwa ambao tayari wameadhirika na ugonjwa huo wapate tiba.


Amesema hayo Akiwa katika mkutano na Wananchi wa kata ya Majimoto katika kitongoji cha Bula katika Halmashauri ya Mpimbwe.


DC Mwanga amewaonya waganga wa tiba mbadala kuwarubuni wananchi kuwa wanatibu ugonjwa huo kwani Serikali haitasita kumchukulia hatua mganga yoyote atakayebainika kumtubia mtoto kwa njia ya tiba mbadala.


Aidha, ametoa wito kwa wananchi kuachana na imani potofu kuwa vifo vinavyotokea vinasababishwa na inamani za kishirikina bali wasikilize maelekezo ya madokta kwa kuwapeleka watoto wao wenye umri wa kuanzia miezi 4 hadi miaka 5 kupata chanjo ya ugonjwa huo.


Kwa upandewake Mganga mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe Dkt.Martin lohay  amesema vifo vitokanavyo na ugonjwa huo 12 na wagonjwa waliobainika hadi sasa 646


Dkt. Lohay amesema hadi sasa Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa chanjo zakutosha  hivyo amewaomba wananchi kutoa ushirikiano ilikukabiliana na Jambo hilo.


Imetolewa na

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Halmashauri ya Mpimbwe.




Matangazo

  • BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA December 20, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA February 15, 2024
  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 17, 2019
  • Tangazo la nafasi za Kazi za Muda April 21, 2020
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPIMBWE

    April 05, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA H/W YA MPIMBWE AZINDUA MAFUNZO YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI

    February 12, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA MPIMBWE LAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA LISHE NA MIRADI YA MAENDELEO

    February 11, 2025
  • Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura

    October 11, 2024
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Chuo kikiku cha kilimo Sua cha tembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa ajili ya uanzishaji wa chuo cha kilimo Ndani ya Mkoa wa Katavi
  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region
  • Mkoa wa katavi

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: 0625732265

    Mobile: 0625732265

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa