• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

Tathimini ya hali ya matokeo kwa Elimu ya msingi na Sekondari kuanzia 2019 hadi April 2022

Posted on: April 22nd, 2022

Wadau wa Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe  mkoa wa katavi wamekutana kujadili hali ya utekeleza wa elimu  kuanzia 2019 hadi mwezi April 2022 katika ukumbi wa shule ya sekondari Usevya.

Wakijadili kuhusu hali ya ya ufaulu wa wanafunzi wamesema  Halmashauri ya wilaya ya Mpimnbwe ina Tarafa mbili  ambazo ni Tarafa ya Mamba na Tarafa ya Mpimbwe pia ina kata 9 Ambazo ni Kibaoni , Usevya, Ikuba,  Chamalendi , Mwamapuli, Mbede, Majimpoto Mamba ,na Kasansa Halmashauri hiyo ina jumla ya shule  za msingi 42 na 8 za sekondari shule hizo zimesajiliwa na zina milikiwa na Serikali .

Akisoma Taarifa ya hali ya Maendeleo  ya Elimu  kwa mwaka 2019 hadi  april 2022 Florence Ngua Afisa  Elimu  Taaluma  Mkoa    wa katavi  amesema katika ufaulu wa mitihani darasa la saba 2021 Halmashauri  ilishika  nafasi ya  tatu kimkoa  kwa asilimia  ya ufaulu  wa 89.7%  kwa mafanikio  makubwa ambayo  yanapaswa  kupongwezwa

  katika  matokeo ya ufaulu  katika Elimu Sekondari kwa   mwaka 2018,2019,2020 na 2021 hali ya ufaulu wa mitihani iliongezeka kitaifa   kidato cha nne  kwa 11.4% kwa mwaka 2018 ufaulu ulikuwa   86.1% ,mwaka 2020 ni 97.53% na kwa mwaka 2021 ni 99%.  

Kidato cha pili  mwaka 2018 ufaulu  ulukuwa asilimia  92.96% ,mwaka 2020 ufaulu uliongezeka kwa asilimia 92.98%na mwaka 2021 ufaulu  ulikuwa 95% na  kwa kidato cha sita  mwaka 2018  ufauLu ulikuwa  100% na mwaka 2021 ni 99%

Aidha Florence  ameeleza juu ya changamoto zinazoikabili idara ya elimu na  namna ambavyo wanapambana ukabiliana nazo , amesema kumekuwa na  changamoto za upungufu wa nyumba za  walimu, vyumba vya madarasa,  na  hosteli kwa sekondari upungufu wa samani  hususani madawati  kwa shule za msingi kutokana kwa  na sera ya Elimu bila malipo  kumekuwa na ongezeko kubwa la  wanafunzi  wanao andikishwa , ufinyu wa Bajeti  ya Elimu  unaosababisha Idara  kutofikia  malengo  yake  kwa ufanisi  na  kwa wakati , utoro wa rejareja  kwa baadhi  ya wanafunzi  unachangia kwa kiasikikubwa  kutokuwa na ufaulu mzuri  ,ukosefu wa walimu wa sayansi , hisabati , kiingereza na  mafundi sanifu wa maabara  kwa shule za sekondari.

pia ameeleza namna amabvyo wanapambana katika kukabiliana na changamoto hizi ikiwa ni  pamoja na   kuendelea kuomba ofisi ya Rais TAMISEMI kuongezewa Walimu , kutengeneza viti , meza na madawati na nakufaya ukarabati  pale vinapoharbika  ,kuongeza ujenzi wa shule mpya  za msingi na Sekondari pia  wakuu wa shule  Bodi  za shule , walimu  na kamati za shule  kushirikiana  na wazazi  na wadau  wa elimu  kuendelea kudhibiti utoro .

 Sanjari na hayo wadau  wameshauri juu ya kuwajali walimu  kwa kuwaaamini kwakuwa wamepewa dhamana kubwa ya kuhakikisha watoto wanakuwa  na elimu bora

 Hata hivyo Mgeni rasmi katika kikao hiki Dr Elpidius Baganda  katibu tawala  msaidizi  Elimu  amesema wazazi pamoja nwa dawau wengine washirikiane katika kukuza elimu kwa kutoa mahitaji yote muhimu kwa mwanafunzi . 


Matangazo

  • BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA December 20, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA February 15, 2024
  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 17, 2019
  • Tangazo la nafasi za Kazi za Muda April 21, 2020
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPIMBWE

    April 05, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA H/W YA MPIMBWE AZINDUA MAFUNZO YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI

    February 12, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA MPIMBWE LAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA LISHE NA MIRADI YA MAENDELEO

    February 11, 2025
  • Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura

    October 11, 2024
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Chuo kikiku cha kilimo Sua cha tembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa ajili ya uanzishaji wa chuo cha kilimo Ndani ya Mkoa wa Katavi
  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region
  • Mkoa wa katavi

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: 0625732265

    Mobile: 0625732265

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa