Wahasibu wa Halamashauri ya Wilaya ya Mpimbwe wakifuatilia kwa makini mafunzo ya Mfumo Mpya wamalipo wa Kielektroniki (Tanzania Interbenk Settlement System) TISS kutoka kwa Mtaalam wa BOT. Mfumo huu mpya umeanza Kutumika rasmi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa