Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Ndg. Erasto Kiwale anayofuraha kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa katavi Mh. Amos Makalla kwenye ziara yake itakayofaniyika tarehe 31/8/2018.
Katika Ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Katavi atazungumza na watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa