Katibu Tawala wa Wilaya ya Mlele Ndg.Lincoln Tamba Pichani akimkaribisha Mh.Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Geofrey Pinda kuzungumza na watumishi na Wah.Madiwani leo tarehe 31 Dec 2020.Aidha Ndg. Tamba alimpongeza Mh.Naibu Waziri kwa ushindi mkubwa wa kishindo alioupata yeye na Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 2020, Pia alimpongeza kwa kuaminika na Mh.Rais Dr.JohnPombe Magufili hata akamteua kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa