Lengo Kuu la Idara:
Kutoa huduma bora za ugani kwa wananchi ili walime kilimo cha kisasa na chenye kuongeza tija kwa lengo la kuinua hali ya kiuchumi ya wakulima wa Wilayani Mlele.
Kipaumbele cha Idara:
Kuongeza uzalishaji wa mazao ambayo yalikuwa hayapewi kipaumbele kama Alizeti, Mtama, Mihogo, Viazi, Mbogamboga na Matunda pamoja na kuongeza tija ya uzalishaji wa mazao ya chakula kama mahindi na mpunga na tumbaku ambalo ni zao kuu la biashara.
Malengo
Utekelezaji wa malengo ya kiidara
Kazi zifuatazo zimefanyika katika kutekeleza malengo ya kiidara kuanzia Julai hadi Septemba 2016.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa