Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anapenda kuwatangazia wananchi wote ambao waliomba nafasi ya ajira ya muda ya zoezi la mfumo wa anwani ya Makazi kuwa tayari majina yawalioomba yametoka,
kwa maelekezo zaidi na kuona majina ya walioitwa kwenye usaili bonyeza TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa