Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe umepokelewa katika viwanja vya Shule ya msingi Ilunda ukitokea Halmashauri ya Mlele. Unatarajia kukagua, kuzindua miradi mbalimbali na kuweka mawe ya msingi
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa