Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Kavuu anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 15 Oktoba 2025 katika ofisi za msimamizi msaidizi ngazi ya kata kuanzia saa 2:00 asubuhi
Kuona orodha ya waombaji pamoja na kituo cha usaili :- Bofya MAKARANI WAONGOZAJI.pdf
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa