Bonanza la Maandalizi ya Ukaribisho wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Bonanza hilo limefanyika katika viwanja vya Kibaoni Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoani Katavi ambapo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufika katika eneo hilo siku ya Jumamosi Tarehe 18 Oktoba, 2025 ili aweze kujinadi kwa wananchi wa Jimbo la Uchaguzi la Kavuu.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa