Tume yaTaifa ya umwagiliaji imetoa shilingi milioni 61,852,650 kwaajili ya ukarabati wa skimu ya umwagiliaji iliyopo kijiji cha kilida Kata ya Mamba Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoani Katavi.
Akikabidhi mradi huo kwa mkandarasi kampuni DEDAN CAMPANY LIMITED, Mhandisi wa umwangiliaji Mkoa wa Katavi ndug,Banzi Abdallaha mesema mradi huu iliuweze kukamilika kunahitajika ushirikiano kati ya mwananchi na Mkandarasi katika kipindichote cha ukarabati wa mradi huo.
Mradi huu unatarajia kutekelezwa kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia 26/05/2022 hadi 26/08/2022 kwamujibu wa kataba .
Awali akizungumza Diwani kata ya Mamba Mustapher Kipeta amesema skimu hiyo ikikamilika itakuwa msaada kwa wananchi kutokana na mto huo kuhamisha maji na kuharibu makazi ya watu.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa