Mradi mkubwa wa Maji Chamalendi upo katika hatua za mwisho za ukamilishaji mradi huu ambao unasubiriwa kwa hamu na wanachi wa eneo hilo utakuwa muorabani wa tatizo la maji katika eneo hilo ambalo wanachi wake wanatembea umbali mrefu kutafuta maji
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa