Posted on: September 16th, 2018
Muonekano wa sasa wa Jengo la Utawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe katika Hatua ya kumwaga Jamvi , aidha tayari Jamvi limetandikwa katika jengo lote hatua inayofuta ni ya kumwaga zege la juu &n...
Posted on: September 14th, 2018
Walimu wakuu wakifuatilia kwa Umakini mafunzo ya mfumo wa kutunza taarifa za kila siku za shule, Walimu hao wamepatiwa Vishikwambi ambavyo vitatumika kama nyenzo katika kuingiza taarifa za kila ...
Posted on: September 13th, 2018
Afisa Elimu Msingi Bi Monika Mpululu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe akihitimisha Mafunzo ya Mfumo wa kutunza taarifa za Shule za kila siku, mafunzo hayo yalitolewa kwa wlimu wakuu wa shule za ms...