Posted on: March 1st, 2023
Wanawake wa Halamshauri ya wilaya ya Mpimbwe mapema leo Tarehe 1march 2023 wamefanya sherehe ya uzinduzi wa siku ya mwanamke katika kata ya Ikuba kijiji cha kashishi Mkoa wa Katavi.
wakiwa...
Posted on: February 28th, 2023
Wataalam wa elimu ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mkoa wa katavi wapatiwa mafunzo ya siku tatu ambayo yalianza Tarehe Februari 27, 2023 hadi Machi 01 katika ukumbi wa Shule...
Posted on: February 20th, 2023
Kufuatia Mlipuko wa ugonjwa wa Surua uliojitokeza katika Halmashauri ya Mpimbwe Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Majid Mwanga amefanya ziara ya siku Nne katika kata za Usevya, Ikuba , Mbede, Mwamapuli, Ma...