Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anawatangazia Wananchi wote kuwa Viwanja vilivyopimwa vipo tayari kwa ajili ya Kulipia, viwanja vinapatikana kwa bei nafuu fika ofisi za ardhi kwa maelezo zaidi , wahi mapema
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa