Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anapenda kuwatangazia Vijana ambao wamefanya usaili wa zoezi la Mfumo wa Anwani za Makazi kuwa tayari majina ya waliofaulu usaili yametoka
Kwa maelezo zaidi kuona Majina ya Waliofaulu usaili na tarehe ya mafunzo bofya KUITWA KWENYE MAFUNZO YA MFUMO WA NAPA.pdf
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa