Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anapenda kuwatangazia wananchi wote ambao waliomba nafasi ya ajira ya muda ya zoezi la mfumo wa anwani ya makazi kuwa tayari majina ya awamu ya pili yametoka
Kwa maelekezo zaidi, kuona Majina ya walioitwa na tarehe ya usaili bofya KUITWA USAILI AWAMU YA PILI .pdf
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa