Mkurungenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anapenda kuwatangazia wananchi wote nafasi ya ajira ya muda , Nafasi mia tatu thelathini na mbili (332) za uandikishaji wa Mfumo wa Anwani za Makazi litakalofanyika katika vitongoji vyote vya Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe. Kwa maelezo zaidi soma Tangazo lililopo hapo chini
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa