Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anawatangazia waombaji wa nafasi ya Msaidizi wa Hesabu walioshinda usaili uliofanyika Tarehe 16 Septemba 2017 kuwa wanatakiwa kuripoti kazini Tarehe 1 Oktoba 2017 bila kukosa, kuona majina ya walioshinda usaili bofya hapo TANGAZO LA KUITWA KAZINI.pdf
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa