Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kavuu Bw. Erasto Kiwale anapenda kuwajulisha kuwa , zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Vituoni, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators katika Kata zote za Halmashauri ya Mpimbwe linaanza hivi karibuni, Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza nafasi hizo, Kwa maelekezo zaidi na sifa soma tangazo lilipo hapo chini
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa