Saturday 21st, December 2024
@
Chanjo ya HPV (Human Papilloma Virus Vaccine) inamlenga msichana mwenye umri wa miaka 14 kwa ajili ya kumlinda yeye na saratani ya mlango wa kizazi, Mgeni rasmi katika uzinduzi wa chanjo hii ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali (Mst) Raphael Muhuga, Wasichana wote kuanzia umri wa miaka 14 mnakaribishwa.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa