Tuesday 1st, July 2025
@MBARALI MBEYA
Kutakuwa na ziara ya Wah. Madiwani, timu ya menejimenti pamoja na Wataalam itakayofanyika katika Halmashauri ya Willaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, kwa lengo la kujifunza kilimo bora cha umwagiliaji wa Mpunga.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa