Saturday 21st, December 2024
@
Wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mnatangaziwa kuwa zoezi la Uandikishaji wa Wapiga Kura litaanza saa mbili kamili asubuhi (2:00) na kufungwa saa 12:00 Jioni, zoezi hili litaanza tarehe 08/10/2019 hadi tarehe 14/10/2019
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa