Baadhi ya Wakuu wa Idara Pichani wakifuatilia kwa karibu Hotuba ya Mh. Naibu waziri wa Sheria na Katiba Geofrey Pinda. Aidha mstari wa kwanza kutoka kulia pichani ni Mkuu wa Idara ya Utumishi na utawala Ndg. Jabir Makombe na anaye mfuata ni Muweka Hazina wa Halmashauri ndg. Eliaza Kidjout,
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa