Na Odetha Salum
Baraza la Madiwani limeridhia na kupitisha Mpango wa Bajeti ya Tsh17,218,976,432.45. kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 itakayo saidia katika shughuli mbalimbali za Halmashauri Ukilinganisha na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020/2021 ambayo Bajeti yake kwa mwaka huo ilikuwa Tsh16,453,578,844,28.
Akisoma Taarifa ya Mpango wa Bajeti Mwaka wa Fedha 2022/2023 Afisa Mipango Daniely Anthony kwa niaba ya Mkurungenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine Mashalla katika Baraza la Madiwani amesema katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/2023 Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe imepitisha Mpango wa Bajeti wa Tsh 17,218,976,432.45 kwa ajili ya utekelezaji wa kazi mbalimbali zilizo pangwa kufanyika katika Halmashauri.
Fedha hizo zimegawanyika katika makundi yafuatayo; Tsh 6,863,120,000.00 kwaajili ya Ruzuku ya mishahara , Tsh 980,752,844.28 kwa ajili ya Ruzuku ya matumizi mengineyo, Tsh 80,486,000.00 kwaajili ya matumizi mengineyo, Tsh 3,139,747,138.19 kwaajili ya miradi ya Maendeleo inayofadhiliwa na fedha za ndani ,Tsh 4,460,100,449.98 miradi ya Maendeleo inayo dhaminiwa na Fedha za wafadhili ,Tsh 1,517,470,000.00 Makusanyo ya ndani ya siyo fungiwa, Tsh 177,300,000,00 mapato ya ndani yaliyofungiwa , Bajeti hii imeongezeka kwa asilimia 4.65 ukilinganisha na Bajeti ya mwaka 2021/2022
Aidha Baraza limeshauri kubuni vyanzo vingine vya mapato ili kuweza kuongeza kipato katika Halmashauri Kama vile kukusanya ushuru na tozo itokanayo na mazao ya uvuvi (samaki) hivyo imeshauriwa Barabara itengenezwe kutoka Mto kavuu mpaka Ziwani ili kurahisisha ukusanyaji watozo hizo.
Katika Bajeti ya mwaka wa Fedha 2021/2022 Bajeti hiyo mpaka kufikia Mwezi Juni ilijumuisha mapato ya ndani yasiyo fungiwa,TshTsh1,293.725,000.00 , kiasi kilicho tolewa Tsh 1,830, 781, 119.85. na kiasi kilichotumika Tsh1,402,171,121.16. mapato ya ndani yaliyo fungiwa(NHIF+iCHF+ADA (Kidato cha 5na6 )+Minara ya simu ), Tsh 82,870,000.00 kiasi kilicho pokelewa 27,952,918.41 na kiasikilicho tumika 26,555,272.49 . Ruzuku ya mishahara ya kawada, fidia ya vyanzo vya mapato vilivyofutwa GPG Tsh80,486,000.00 ambapo fedha iliyo pokelewa ni Tsh 66,528,783.44 na fedha iliyo tumika ni Tsh47,777,152.14, Ruzuku ya matumizi mengineyo ni Tsh 796,418,000.00 fedha iliyo pokelewa Tsh494,903,604.93 na kiasi kilicho tumika Tsh470,158,424.68. Ruzuku ya MishaharaTsh Tsh7,301,182,000.00. ambapo kiasi kilicho pokelewa Tsh6,352,576,120,00. Na kiasi kilicho tumika Tsh6,262,962,655.00. Ruzuku ya Maendeleo,Fedhaya ndani Tsh2,843,369,580.46 Ambapo kiasi kilichopokelewa Tsh 2,319,764,370.11 na kiasi kilichotumika Tsh2,805,855,720.16 .na Wahisani Tsh Tsh2,032,819,816.00 ambapo kiasi kilicho pokelewa ni Tsh 779,043,399.30 na kiasi kilicho tumika Tsh 559,451,381.33 Kwa mwezi juni jumla ya Bajeti ilikuwa Tsh 14,430,870,396.46 kiasi kilicho pokelewa ni 11,871,550,316.04 na kiasi kilicho tumika ni Tsh 11,574,931,726.96.
Afisa Mipango amesema Mpaka kuishia mwezi Disemba 2020/2021 Mapato ya ndani yasiyofungiwa Bajeti Tsh1,354,725,000.00. fedha iliyo pokelewa Tsh1,313,366,005.36. Fedha zilizotumika Tsh716,736,227.67. na mapato ya ndani yaliyofungiwa (NHIF+iCHF+ADA (Kidato cha 5na 6)+minara ya simu Bajeti Tsh 252,793,000.00 Fedha iliyopokelewa Tsh 47,160,296.60.Fedha zilizo tumika 0,00 , Ruzuku ya matumizi ya kawada , Fidia ya vyanzo vya mapato vilivyofutwa Bajeti Tsh 80,486,000,00 Fedha iliyo pokelewa 0.00. na Fedha iliyotumika0.00, Ruzuku ya matumizi mengineyo Bajeti ni Tsh 980,752.844.28 Fedha iliyopokelewa Tsh 548,638,952.87. Fedha zilizo tumika 197,471 120.00 Ruzuku ya mishahara Bajeti ni Tsh 6, 863, 120, 000,00 fedha iliyopokelewa 3,531, 086,000.00 na Fedha iliyotumika 3, 094,940, 454.33. Ruzuku ya Maendeleo, Fedha za Ndani Bajeti ni Tsh 2,254,845,000,00. fedha iliyo pokelewaTsh 1, 685,323,054,.01 Fedha zilizo tumika Tsh 232, 228,394,00. Na wahisani Bajeti ni Tsh 4, 666,857,000.00 Fedha zilizopokelewa 2,171,188,643.36. Fedha zilzo tumika Tsh 815 ,743, 496.94. ambapo jumla yake kuu ni TSH 16,453,578,844. 28.
Hata hivyo amesema katika Bajeti hiyo kulikuwa na changamoto za utekelezaji wamiongonimwa changamoto hizo ni uhaba wa Watumishi na vitendea kazi kama Magari hivyo kufanya vyanzo vingine visiweze kufikiwa.
Baadhi yawafanya Biashara kubuni mbinu mbalimbali za kukwepa kulipa ushuru na fedha za Ruzuku kutofika kwa wakati.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa