Baraza la wafanyakazi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe CWT na TALGWU limepitia mapendekezo ya mipango na kupitisha bajeti ya 2022/2023.
Baraza hilo limehudhuliwa na Agelina Mtemo katibu wa TALGWU Mkoa wa Katavi na Nuru Shenkalwa katibu CWT Mkoa wa Katavi.ambao wameshiriki katika kupitisha Mpango huo wa bajeti .
Aidha Mapendekezo na makisio ya Mpango na Bajeti ya Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe kwa matumizi mengineyo( OC), Mishahara (PE)na miradi ya maendeleo (DEV) Kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa idara na vitengo ni Tsh 17,218,976,432.45.
Baraza hilo lililo hudhuliwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya mpimbwe limelidhia na kupitisha mapendekezo ya mpango na bajeti liyokusudiwa.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa