• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

DC MWANGA ASIKILAZA KERO ZA WANANCHI MPIMBWE.

Posted on: September 14th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mh. Majid Mwanga amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe  kwa ajili ya kutembelea , kusikiliza , kutatua kero za Wananchi na kuhamasisha  wananchi kuhakikisha watoto wote wenye umri chini ya miaka nane kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa polio ili kuweza kuepuka madhara yatokanayo na ugonjwa huo.

Akiwa  katika kata ya Mbede , Usevya  Ikuba,Majimoto , kibaoni , Mwamapuli, na Chamalendi katika  ziara hiyo Mhe Majid Mwanga amebaini changamoto  mbalimbali ambazo zinawakabili wananchi  katika maeneo yao ambayo wanaishi licha ya kuwepo kwa viongozi ambao wanatakiwa  kuwazipatia ufumbuzi na badala yake wengine kuwa sehemu ya kuzalisha changamoto.

Aidha amebaini kuwa Pamoja na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani kutoa fedha nyingi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi bado baadhi ya viongozi wa kata  wamekuwa wakiendelea kuchangisha wananchi michango ambayo ni kinyume na  utaratibu

Kutokana na hali hii Mkuu wa Wilaya amemuelekeza Mkurugenzi mtendaji kuwachukulia hatua za kinidhamu  Mtendaji wa kijiji pamoja na mtendaji wa kata ya Ikuba kwa kuchangisha michango wananchi

Katika ziara hiyo amemuagiza Mkuu wa Polisi Wilaya kuwachukulia hatua vijana ambao wanajiita  changulaga ambao wanafanya uzalilishaji kwa watoto wa kike.

Pia amewataka wananchi kuendelea kujiandikisha  katika daftari  ili kupata mbolea za ruzuku zilizotolewa na Mhe .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  Samia Suluhu Hassani..

Matangazo

  • BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA December 20, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA February 15, 2024
  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 17, 2019
  • Tangazo la nafasi za Kazi za Muda April 21, 2020
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPIMBWE

    April 05, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA H/W YA MPIMBWE AZINDUA MAFUNZO YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI

    February 12, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA MPIMBWE LAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA LISHE NA MIRADI YA MAENDELEO

    February 11, 2025
  • Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura

    October 11, 2024
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Chuo kikiku cha kilimo Sua cha tembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa ajili ya uanzishaji wa chuo cha kilimo Ndani ya Mkoa wa Katavi
  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region
  • Mkoa wa katavi

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: 0625732265

    Mobile: 0625732265

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa