Walimu wakuu wakifuatilia kwa Umakini mafunzo ya mfumo wa kutunza taarifa za kila siku za shule, Walimu hao wamepatiwa Vishikwambi ambavyo vitatumika kama nyenzo katika kuingiza taarifa za kila siku za shule, aidha walimu hao wamefurahia mafunzo hayo kwani wamesema mafunzo hayo yanalenga kupunguza matumizi ya karatasi katika shule na kuingiza teknolojia katika shule za msingi shuleni na hatimaaye kurahisisha upatikanaji wa taarifa
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa