Afisa Elimu Msingi Bi Monika Mpululu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe akihitimisha Mafunzo ya Mfumo wa kutunza taarifa za Shule za kila siku, mafunzo hayo yalitolewa kwa wlimu wakuu wa shule za msingi zipatozo 31 ambapo walipatiwa mafunzo kikamilifu ya namna ya kutumia vishikwambi na kuingiza taarifa za kila siku za shule, aidha Afisa elimu Msingi aliwasisitiza walimu kuingiza taarifa kila siku katika mfumo huo ili kuweza kutimiza malengo ya kuanzishwa kwa mfumo huo.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa