Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mheshimiwa Majid Mwanga akiwa katika ziara yake katika Halmashauri ya Mpimbwe amewataka SunguSungu kuacha mara moja tabia ya kutoza faini wananchi na kujichukulia sheria Mkononi.
Mh. Majid Mwanga amesema kazi pekee ya Sungusungu ni kufanya ulinzi shirikishi katika maeneo yao kwa mujibu wa makubaliano na jamii na siyo kujichukulia sheria mkononi pale wanapomkamata mhalifu wajibu wao nikumpeleka kwenye vyombo Vya kisheria vya Serikali kwa hatua za Sheria za nchi.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa