Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Dr. Sebastian Siwale akishiriki Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Tupindo, Ujenzi wa majengo yote saba (7) upo kwenye hatua za mwisho za ukamilishaji wa ujenzi huo, kwenye picha hii anaonekana DMO akiwasaidia mafundi katika kuwasogezea vifaa, Ujenzi wa hospitali hii unafanyika Usiku na mchana
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa