Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Erasto Kiwale kushoto katika picha akifuatilia namna Mh. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera akiongoza uzinduzi wa Mnada wa Stakabadhi Ghalani kwa mara ya kwanza katika Magodauni yaliyopo kata ya Mwamapuli, Halmashuri ya Wilaya ya Mpimbwe.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa