Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine Mashalla Pichani akipokea taarifa kutoka kwa Mkandarasi anayejenga jengo la Kituo cha Afya Majimoto na kutoa maelekezo kwa mkandarasi huyo na kwa Mhandisi wa Halmashauri, ya Wilaya.
Aidha Bi.Catherine Mashalla amelidhishwa na mwenendo na kasi ya ujenzi huo na kuwataka waongeze kasi zaidi ili Kituo hicho kianze kutoa huduma kwa wananchi mapema zaidi.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa