Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine Mashalla Pichani akiwa katika ukaguzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya. pamoja na ukaguzi huo pia ametoa maelekezo mbalimbali kwa watendaji na wasimamizi wa mradi huo akiwataka wakamilishe na waboreshe sehemu ndogo ndogo zilizobaki kwa wakati.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa