Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bi Catherine Mashalla pichani akitoa maelekezo kwa Mhandisi wa ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na Katibu wa Afya baada ya kumaliza kufanya Ukaguzi wa jengo la Wodi ya Wazazi.
Aidha aliwataka kuondoa dosari zote alizoziona katika ukaguzi alioufanya haraka iwezekanavyo ili jengo hilo lianze kutoa huduma mara majo.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa