Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine Mashalla pichani akionyesha uso wa furaha baada ya kulidhishwa na kasi na ubora wa ujenzi wa kituo cha Afya Majimoto.
Hata hivyo aliwasisitiza mafundi na wataalam wa Halmashauri kuhakikisha mradi huo unakamilika mapema ili wananchi waanze kupata huduma hapo.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa