Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh. Comrade Juma Zuberi Homera Pichani akitembelea mradi mkubwa wa nyumba za Wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Wilaya yaa Mpimbwe leo tarehe 27 Nov 2020 Katika ziara Hiyo aliambatana na viongozi mbalimbali akiwemo Mbunge wa Jimbo la Kavuu Mh.Geofrey Pinda na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine Mashalla.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa